Friday, December 6, 2019

SHAMSA NDOA YAVUNJIKA


Aliyekuwa Mume wa mwigizaji Shamsa Ford ambaye ni maarufu kwa jina la Chidy Mapenzi amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake yeye na Shamsa na kutolea ufafanuzi taarifa zinazoendelea zikidai kuwa yeye kayumba kiuchumi kwa sasa tofauti na alivyokuwa zamani.

CLICK HAPA CHINI

https://youtu.be/x90GlHhONFI


https://youtu.be/x90GlHhONFI

No comments: