Friday, January 10, 2020

TAZAMA SERIES MPYA YA MESSIAH NETFLIX


Moja kati ya series inayolalamikiwa na waislam ni pamoja na series hii ya Messiah ambayo imeachiwa January mwaka huu ambayo ni kama ina onesha jinsi mwana ajulikanaye kama Jaddah ambaye ni mpinga kristo yaani 666,, Hebu itazame na wewe uione Je hii imekaaje ,,,....


No comments: