Friday, October 16, 2020

HUYU NDIO KIJANA ALIYEPEWA MILIONI NA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUCHORA...


Trending on Instalife zinazona happen.. ni baada mmoja ya kijana kuonesha mapenzi ya juu kwa msanii diaomond pamoja na label yake ya wcb kwa kuchora tattoo kwenye kifua chake... na kufanya msanii diamond kumpa kiasi cha fedha ambacho kitamsaidia kwenye biachara yake.

No comments: