Friday, August 21, 2020

Mashetani Wekundu Manchester wamnyemelea Gabriel Magalhaes

 

Beki wa kati wa Lille na Brazil Gabriel Magalhaes, 22, amechelewa kufanya maamuzi ya mwisho ya kuelekea Arsenal baada ya Manchester United kuonekana kuwa na uwezekano wa kutoa kitita fulani kwa ajili yake. (Telegraph)

No comments: