Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha hukumu ya kesi ya madai ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe dhidi ya Mhariri wa Gazeti la Tanzanite Cyprian Musiba hadi Oktoba 28, 2021 kutokana na kutokamilika kwa maandalizi ya hukumu hiyo.Hukumu hiyo ya kesi namba 220 ya mwaka 2018 ilitarajiwa kutolewa na Jaji De Melo ambapo Membe alimshitaki Musiba na kumdai fidia ya Shilingi Bilioni 10 kwa tuhuma za kumchafua kupitia vyombo vyake vya habari.
Wakili wa Membe, Shundi Mrutu amesema kwamba hukumu itatolewa Oktoba 28, 2021 "Tumeambiwa maandalizi ya hukumu hayajakamilika”
No comments:
Post a Comment