Tuesday, October 12, 2021

Harmonize afunguka kuhusu Mafanikio Yake


@harmonize_tzAmefunguka Kuhusu Mafanikio Pamoja Na Nyakati Ngumu Alizopitia Katika Hii Miaka Miwili Ambayo Ameianzisha Label Yake Ya Muziki Ya #KondeGang .

Kwenye #Xxl Ya Clouds Fm #KondeAmesema..........."Kwanza Nawashukuru Watanzania Wote Kwa Kusapoti Label Ya #KondeGang Ilianza Kama Ndoto Ya Kijana Kutoka Mtaani Lengo Lilikua Kuanzisha Team Ya Kunisimamia Mimi Kama Mimi Na Ilivyo Kamilika Nilipata Fursa Ya Kusimamia Vijana Wengine Na Kusimamisha Wasanii Wakubwa''. Nichukue Nafasi Hii Kumshukuru Kila Mtu Ambaye Anatusapoti, Wakati Naanza Nlibezwa Sana Na Hakuna Mtu Ambaye Alitegemea Hii Label Itakuwa Kubwa Kwa Afrika Mashariki Kwahiyo Kikubwa Tu Ni Watu Tu Waendelee Kusapoti Kuna Makubwa Yanakuja.''

No comments: