Thursday, October 14, 2021

Diamond Pltanumz Anunua Saa yenye Thamani ya Milioni 69 Rolex


Star Wa Muziki Barani Afrika SIMBA @diamondplatnumz Anunua Saa Aina Ya #Rolex Yenye Thamani Ya $30K (TSH.MILIONI 69)#SIMBA Amemwaga Mamilioni Ya Fedha Kwenye Saa Hiyo Ambayo Mastaa Wengi Wa Dunia Upendelea Kuvaa Kama Vile #JAYZ #Drake (@champagnepapi ) @kanyewest @justinbieber Na wengine Akiwa katika Tour yake nchini Marekani 🇺🇸 @diamondplatnumz ame share Katika Insta Story yake Video Clips zikionesha akinunua Saa Hii aina ya ROLEX



No comments: