Thursday, October 14, 2021

Lily Baby Rapper wa kwanza kufanya Squid Game


Rapa @lilbaby Ameoneka Kuvutiwa na Moja Kati Ya Challenge Ya Kwenye Series Ya #SquidGame #LilBaby Amethibitisha Hilo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram (Insta-Story) akionekana Kufanya Challenge Hiyo Inayoitwa - Dalgona Candy Challenge



No comments: