Wednesday, October 20, 2021

Dulla Makabila na Masai Arusha

King wa Singeli @dullamakabila ameamua kupigilia mavazi ya kimasai akiwa Longido kama mmoja kati ya wasanii waliotoa Burudani kwenye Ziara ya Mhe Rais @samia_suluhu_hassan
-
-
Kwa muonekano huu wa @dullamakabila umevutiwa Na nini Zaidi kwenye mavazi yake na unatoa comment gani kwenye muonekano wake huu?


 

No comments: