Rapa @iamcardib yuko hatarini kufungwa miaka Minne (4) jela kufuatia Mashtaka Mawili Yanayomkabili, Shambulio La Kudhuru Mwili Pamoja na Uzembe
Mwaka 2018 #Cardi Alikamatwa na Kufunguliwa Mashtaka Kwa Makosa Hayo Mawili (Kuwapiga Na Kuwafanyia Fujo Wahudumu Wawili Ndani Ya #Angels-Strip-Ckub) Lakini 2019 Alikanusha Kwenye Mahakama Kuu Ya QUEENS Akiwa Kizimbani Kwa Kumwambia Hakimu #JosephZayas "Not Guilty Sir" Yani Hana Hatia
#CardiB alitoa maelekezo kwa wasaidizi wake kuwapiga wahudumu Hao wawili wa klabu hiyo (Jade & Baddie Gi) na baadaye yeye pia kushiriki kutembeza kipigo, Kurusha Viti Na Kupasua Chupa Ikiwa Ni baada ya kusikia kuwa mmoja kati yao alitoka kimapenzi na mumewe #Offset.
Hivyo Usikilizaji Wa Kesi Hiyo Umepangwa Jumatatu Ya Wiki Ijayo (Oktoba 25, 2021) Na Endapo Rapa Huyu Atakutwa na Hatia Ya Makosa Yote Mawili Basi Kifungo Cha Miaka Minne (4) Jela Kitamhusu
No comments:
Post a Comment