Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku uvuaji kondomu bila makubaliano, hii ni baada ya kuwasilishwa kwa muswada ulioitwa "stealthing". Sheria hii mpya inaifanya California kuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kuidhinisha uvuaji wa kondomu bila makubaliano kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria ambapo Mtu anaweza kumfungulia kesi Mtu akatakayevua kondomu bila makubaliano yao wakati wa tendo.
Monday, October 11, 2021

Tags
About Admn
Pata kufahamu Habari za Michezo na Burudani.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment