Wednesday, October 13, 2021

Mbosso Afikisha Streams 100 Mil Album Definition of Love


Album Ya #DefinitionOfLove Ya @mbosso_Imefanikiwa Kufikisha Jumla Ya Streams Milioni 100 Katika Mitandao Yote Ya Kusikilizia Muziki Duniani. Album Hiyo Ina Jumla Ya Nyimbo 14 Ina Jumla Ya Miezi Minane Tu Tangu Itoke Rasmi.

Kupitia Ukurasa Wa Instagram #Mbosso Ameandika........''100M Streams On All Digital Platforms #DefinitionOfLove Number 1 Album 2021 … 🔥🔥🔥🔥''

No comments: