Msanii @mo_musictzAmetaja Wasanii Ambao Yeye Anawajua Kwenye Game Ya Bongo Fleva Hawatumii Pombe Kabisa, Kwenye #Refresh Ya Wasafi TV Mo Ameyasema Hayo Huku Akitaja Wasanii Watatu Tu Ambao Ni #KalaJeremiah #NayWaMitegoPamoja Na #GNako .
Vipi Kuhusu Wewe Wasanii Gani Unahisi Amewaacha Kwenye List Ya Wasanii Ambao Hawanywi Pombe
No comments:
Post a Comment