Wednesday, October 13, 2021

Nandy Kufanya Tour Marekani


 The African Princess @officialnandy Ametangaza Kuanza Tour Yake Marekani Ambayo Itakuwa Ni Tour Ya Takribani Miezi Miwili Nchini Humo.

Kupitia IG Yake #NandyAmeandika..........''USA- MARCH MADNESS 2022 I know You Miss Me And Yess I Miss You Too. Tukutane Baada ya Baridi Kupita''



No comments: