C.E.O Wa Label Ya @rayvanny Ameacha Maswali Mengi Kwa Mashabiki Wa Muziki Wake Kwa Mara Kadhaa Mara Baada Ya Kupost Pamoja Na Kuhashtag #NewChuiKwenye Baadhi Ya Post Zake.
Maswali Mengi Ya Mashabiki Zake Yamekuwa Yakitaka Kujua Je Ni Wimbo Mpya Unakuja Wenye Jina Hilo Au Ni Bidhaa Kutoka Kwake??. Unahisi Ni Wimbo Mpya Kutoka Kwa Mkali Huyu Wa Bongo Fleva?
No comments:
Post a Comment