Monday, October 11, 2021

Wanaume Kupigwa na Mke wako Toa Taarifa


Wanaume wametakiwa kutoa taarifa za ukatili na vipigo wanavyopewa kutoka kwa wake zao au jamii inayowazunguka, ili wapate msaada. Ofisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro Raphia Koshuma alisema hayo juzi katika mafunzo ya wenyeviti na watendaji wa vijiji yaliyotolewa na Shirika la Utetezi wa Haki za Binadamu (Ajiso) kupitia mradi wa Tuwalinde.

No comments: