Monday, October 18, 2021

Yemi Alade akutana na Ed Sheeran

Msanii @yemialadeAmekutana Na Mwanamuziki #EdSheeran Kwenye Hafla Ya Utoaji Tuzo Za #EarthShotPrize Zilizofanyika Huko Uingereza.
#Yemi Amepost Katika IG Yake Huko Baadhi Ya Mashabiki Zake Wakitamani Kuona Kolabo Kati Ya Wawili Hao Ikifanyika.



 

No comments: